Mambo vipi guys Karibu katika blog hii leo nakupa ujanja zaid ,embu utumie then niachie koment hapo chin Haya tusonge mbele..... EMbu chukua haya Maujanja ninayo kupatia hii leo ,haaafu yafanyie kazi ,baadae nipe mrejesho huo......Ila tambua kujikinga vyema na COVID19 Ifanye kompyuta yako ukiiwasha ikuite jina lako. *By Am IT guy STEPADO* Unaonaje pale unapoingia nyumbani kwako, kazini, ofisi za umma au mahala popote kwa kukaribishwa huku ukitajwa jina lako. Ni jambo linalofurahisha na kusisimua sana. Pengine Kompyuta yako unayoitumia nyumbani au kazini ungependa ifanye kazi hiyo kila unapoiwasha. Leo ninakupa maujanja ya kuifanya Kompyuta yako ukiiwasha ikukaribishe kwa kuita jina lako. Ni njia rahisi sana ya kufanya hilo liwezekane. Baada ya wewe kupitia maelekezo nitakayo kuwekea hapa kompyuta yako itaweza kukukaribisha kwa namna ya kipekee kabisa. Kufanikisha zoezi hilo fanya na ufuate maelekezo ninayokuwekea hapo chini. 1. Kwanza fungua ukurasa wa ...