Mambo vipi guys
Karibu katika blog hii leo nakupa ujanja zaid ,embu utumie then niachie koment hapo chin
Haya tusonge mbele.....
EMbu chukua haya Maujanja ninayo kupatia hii leo ,haaafu yafanyie kazi ,baadae nipe mrejesho huo......Ila tambua kujikinga vyema na COVID19
Ifanye kompyuta yako ukiiwasha ikuite jina lako.
*By Am IT guy STEPADO*
Unaonaje pale unapoingia nyumbani kwako, kazini, ofisi za umma au mahala popote kwa kukaribishwa huku ukitajwa jina lako. Ni jambo linalofurahisha na kusisimua sana.
Pengine Kompyuta yako unayoitumia nyumbani au kazini ungependa ifanye kazi hiyo kila unapoiwasha. Leo ninakupa maujanja ya kuifanya Kompyuta yako ukiiwasha ikukaribishe kwa kuita jina lako.
Ni njia rahisi sana ya kufanya hilo liwezekane. Baada ya wewe kupitia maelekezo nitakayo kuwekea hapa kompyuta yako itaweza kukukaribisha kwa namna ya kipekee kabisa.
Kufanikisha zoezi hilo fanya na ufuate maelekezo ninayokuwekea hapo chini.
1. Kwanza fungua ukurasa wa Notepad na kisha ukopi na kupaste maneno hayo ya chini
Dim speaks, speech
speaks=”Welcome to your PC, Username“
Set speech=CreateObject(“sapi.spvoice”)
speech.Speak speaks
Ukurasa wako wa Notepad baada ya kuufungua paste maneno niliyokupa na uweke jina lako kwa kufuta username
2. Badilisha username na uweke jina litakalokaribishwa pindi Kompyuta ikiwaka.
3. Sevu faili lako kwa vbs. Yaani kama file lako umelipa jina la Stepado, basi weka nukta kisha vbs
yaani liwe stepado.vbs
4. Baada ya hatua hiyo unatakiwa ulikopi faili lako na kulipeleka kwenye Startup. Hapo itategemea unatumia Windows gani ili kufika.
Zingatia haya, Kama unatumia Windows XP: Nenda C:\Documents and Settings\All Users\Start Menu\Programs\Startup
kompyuta yako ukiiwasha ikuite jina lako
Kama unatumia Windows Vista/7/8/8.1/10:
Nenda C:\Users\ {User Name}\AppData\Roaming\Microsoft\Windows\Start Menu\Programs\Startup
Weka tiki sehemu iliyowekwa mshale ili kuona folder zilizojificha
kompyuta yako ukiiwasha ikuite jina lako: Muonekano baada ya kuweka tiki kwenye hidden items
Ukifanya hatua zote vizuri, zoezi lako litakuwa limekamilika kwa kukaribishwa kwenye Kompyuta yako kila inapowaka. Sauti ambayo itakuwa ikikukaribisha ni ya kiume.
Pengine wengine hawatajisikia raha kukaribishwa na sauti ya kiume. Kama ni hivyo basi tumia maneno haya ya chini ili uwe unakaribishwa na sauti ya kike.
Dim speaks, speech
speaks=”Welcome to your PC, I Love Free Software”
Set speech=CreateObject(“sapi.spvoice”)
Set speech.Voice = speech.GetVoices(“gender=female”).Item(0)
speech.Speak speaks
Kama umependa maujanja haya jaribu nawe kwenye Kompyuta yako ili uone unavyokaribishwa kama stelingi kwenye Movie flan hv la kibabe. Bila shaka umefanikisha zoezi lako. Usisite kunipa mrejesho kama umefanikiwa au La.....!
Oyooooooooooo,
Bhaasi usisite kutufollow ,kucomment na kulike pia ili uwe karibu nasi kila wakati
Asante karibu

Comments
Post a Comment