Kwa Wanafunzi Hizi Ndizo Laptop Bora za Kununua
Written by Stepado Pascal
Kwa sasa ni kipindi cha kuanza
kujiandaa kuingia kwenye semiter mpya na kwa wengine ni kipindi cha kujiandaa
kuingia kwenye masomo ya elimu ya juu, pamoja na yote hayo kuwa na laptop
ni kitu cha msingi sana kwa wanafunzi ndio maana leo Solutions Tech tunakuletea
laptop bora kwaajili ya wanafunzi kwa mwaka 2020. Laptop hizi zimepangwa kwa
kuzingatia ubora wa laptop ambayo mwanafunzi anahitaji na angeweza kununua.
10. Asus Zenbook UX305
Sifa za Asus Zenbook UX305
- CPU: 6th generation Intel Core m3 – Core m5 |
- Graphics: Intel HD Graphics 515 – 5300
- RAM: 8GB
- Screen: 13.3-inch FHD (1,920 x 1,080) – QHD+ (3,200 x
1,800)
- Storage: 256GB – 512GB SSD
Laptop hii ni bora kutokana na ubora
wake bei pamoja na urahisi wake wa kutumia laptop hii inauwezo
wa teknolojia ya full HD screen ama hakika laptop hii ni bora sana
kuwa nayo wewe mwanafunzi hata bei pia ni rafiki sana.
9. HP Chromebook 14
Sifa za HP Chromebook 14
- CPU: 6th generation Intel Celeron
- Graphics: Intel HD Graphics
- RAM: 2GB – 4GB
- Screen: 14-inch HD (1366 x 768) – FHD (1,920 x 1,080)
- Storage: 16GB – 32GB eMMC
Kama unatafuta laptop yenye kutumia
Android ukiwa na uwezo wa kuinstall app kutoka play store basi laptop hii ni
bora sana kwako wewe mwanafunzi kwani kupiti play store utapata programu nyingi
za kukusadia kurahisisha masomo pamoja na kuhifadhi data zako kwa urahisi.
8. Apple MacBook Pro (13-inch 2016)
Sifa za Apple MacBook Pro
(13-inch 2016)
- CPU: 6th generation Intel Core i5 – Core i7
- Graphics: Intel Iris Graphics 540
- RAM: 8GB – 16GB
- Screen: 13.3-inch WQXGA (2,560 x 1,600)
- Storage: 256GB – 1TB SSD
Hakuna asie ijua kompyuta hii kwani
kompyuta hii ni bora sana na inakupa uwezo wa kuhifadhi mafile yako ya shule
kwa kiwango kikubwa, pia laptop hii inaonekana kukaa na chaji sana hivyo ni
laptop bora sana kuwa nayo wewe mwanafunzi.
7.
Acer Chromebook 15
Sifa za Acer Chromebook 15
- CPU: 5th generation Intel Celeron – Core i5
- Graphics: Intel HD Graphics
- RAM: 2GB – 4GB
- Screen: 15.6-inch HD (1,366 x 768) – FHD (1,920 x
1,080)
- Storage: 16GB – 32GB SSD
Kama unatafuta laptop yenye kukaa na
chaji pamoja na kufanya kazi kwa haraka basi latop hii ni bora sana kwako, vile
vile laptop hii inatumia Android hivyo inakupa uwezo wa kupata programu kibao
za ku-kurahisishia maisha yako utakapo kuwa masomoni.
6.
13-inch MacBook Air
Sifa za MacBook
Air 13-inch
- CPU: 5th generation Intel Core i5; Core i7
- Graphics: Intel HD Graphics 6000
- RAM: 8GB
- Screen: 13.3-inch WXGA+ (1,440 x 900)
- Storage: 128GB – 512GB SSD
Laptop hii ni moja kati ya laptop
zenye nguvu na zenye kufanya kazi kwa haraka iwe unafanya kazi zaidi ya moja au
unatumia laptop hiyo kwa muda mrefu MacBook Air 13-inch itakupa uhakika wa
kudumu na chaji kila siku.
5.
Lenovo IdeaPad Y700
Sifa za Lenovo IdeaPad Y700
- CPU: 6th generation Intel Core i5 – Core i7
- Graphics: Nvidia GeForce GTX 960M (2GB – 4GB)
- RAM: 8GB – 16GB
- Screen: 15.6-inch FHD IPS (1,920 x 1,080)
- Storage: 500GB HDD – 1TB HDD + 512GB SSD
MBali na ubora wake pamoja na uwezo
wake wa kudumu na chaji laptop hii pia ina muonekano mzuri sana ambao unavuti
na ambao unakufanya utumia laptop yako kila saa hivyo kama unapenda laptop bora
na yenye muonekano bora basi hii ni laptop yako.
4.
Dell XPS 13
Sifa za Dell XPS 13
- CPU: 7th generation Intel Core i3 – i7
- Graphics: Intel HD Graphics 620
- RAM: 4GB – 16GB
- Screen: 13.3-inch FHD (1,920 x 1,080) – QHD+ (3,200 x
1,800) InfinityEdge
- Storage: 128GB – 512GB SSD
Sina haja ya kusema sana kuhusu
laptop hii mbali na kuwa ni bora kwa wanafunzi laptop hii inafaa kwa matumizi
karibia ya aina zote hivyo kama unataka kilicho bora Dell XPS 13 ni laptop
bora sana kwaajili yako.
3.
Asus ZenBook Flip UX360
Sifa za Asus ZenBook Flip UX360
- CPU: Intel Core m-6Y30 – Intel Core m-6Y75
- Graphics: Intel HD Graphics 515
- RAM: 4GB
- Screen: 13.3-inch FHD (1,920 x 1,080)
- Storage: 128GB – 512GB SSD
Kama unatafuta laptop nyembamba na
yenye uwezo wa kudumu na chaji karibia siku nzima basi laptop hii ni bora sana
kwako, laptop hii imetengenezwa kisasa uku ikikuwezesha kufanya kazi zako bila
wasiwasi wa chaji.
2.
Microsoft Surface Pro 4
Sifa za Microsoft Surface Pro 4
- CPU: 6th generation Intel Core m3 – Core i7
- Graphics: Intel HD Graphics 515 – Iris Graphics
- RAM: 4GB – 16GB
- Screen: 12.3-inch PixelSense (2,736 x 1,824)
- Storage: 128GB – 1TB SSD
Kama unatafuta tablet ambayo
inauwezo wa kufanya kazi za laptop basi tablet hii ni kwaajili yako, tablet hii
inauwezo mkubwa sana pamoja na uwezo wa kudumu na chaji kwa muda mrefu sana
huku ikikuwezesha kufnaya kazi zako zote bila wasiwasi.
1.
Samsung Notebook 7 Spin
Sifa za Samsung Notebook 7 Spin
- CPU: 2.5GHz Intel Core i7-6500U
- Graphics: Nvidia GeForce 940MX (2GB DDR3L); Intel HD
Graphics 520
- RAM: 12GB – 16GB
- Screen: 15.6-inch Full HD (1,920 x 1,080) LED with
touch panel
- Storage: 1 TB HDD – 1TB HDD; 128GB SSD
Pamoja na kuwa latop ya awali kwenye
listi hii laptop hii inauwezo mkubwa sana huku ikikupa nafasi ya kuweza
kuhifadhi data zako kwa wingi zaidi pamoja na kukupa uwezo wa kufanya kazi zako
za chuo bila wasiwasi wowote.
Na hizo ndio laptop bora zinazofaa
kwa mwanafunzi kwa mwaka huu 2020 unao elekea mwishoni hvi...
Comments
Post a Comment