JE WINDOW YAKO NI ORIGINAL ..........?
unaweza ukawa unashangaa tu kwanini Am IT guy STEPADO anakuuliza hivyo window yako original 😉 okay sio mbaya ni vizuri kufahamu kama window unayotumia ni original 😊 au lah.
Tunafahamu watu wengi hawanunui window bali tunatumia za free hii kwa sababu watu wengi tunapenda vitonga Haswa Africa 😀 asilimia chache sana baadhi ya watu ununua window au package ya software fulani Lakini wengi wetu ni wazee wa free.
siokwamba Kila window utakayo download free sio original hapana baadhi ukibahatika kupata basi unakuta original kabisa pia hata unazonunua pia Kuna baadhi feki tambua hilo 😉
okay tutoke humo nilikua natania kidogo tu 👇 Hlw turudi kwenye pointi Kuna aina tatu za license za window ukae utambue hilo
💡 Oem
💡Retail (Frp)
💡 na Volume license
💡OEM
Inasimama kama Original Equipment manufacturer ikiwa umenunua kompyuta na kulita imekuja na window 10, basi jua tu OEM linces ysko ikoo kwenye system ya UEFI/BIOS firmware.
hii ni Mara zote huwa ni low price , pia uwezi kuhiamisha kwenye kompyuta nyingine.Oem hawakupi product key yoyote hile huwa zinakuja ikiwa built ikiwa imeandikwa kwenye bios Motherboard kwa kupitia wasambazaji wa laptop.kwaiyo kama ukiamua ku re install windows yako haitakuuliza kuhusu product keys yenyewe automatically itaji detect kwako.
💡Volume lincesing
hii ni huwa Mara nyingi wanatumia watu ambao wafanyabiashara wakubwa, serikalini na hata kwenye organization mbalimbali.
huwezi kutumia kwenye pc nyingine, labda kama unahusiana na Kampuni fulani.product ya Volume huweza kutumiwa na KMS server au (MAK) keys moja unaweza kutumia katika kompyuta zaidi ya moja.
Mara nyingi unazikuta pirated version za window zinafanyiwa activation via key management services tools kama KMS spico, KMS auto net na nk.
💡 Retail (Frp )
hiii inakuwaga copy ya box fulani ambayo inatokea kutoka retail store au online kupitia microsoft store ambayo unaweza kuhiamisha kwenye kompyuta nyingine tena zaidi ya moja na bila shida inafanya kazi.
× Expensive ni kweli ina gharama sio ndogo kubwa kwani kwa asilimia 100% ina suportiwa na Microsoft support pia unaweza fanya upgrade na downgrade.
JE NITAJUAJE KAMA WINDOW UNAYOTUMIA NI OEM , RETAIL AU VOLUME ?
ni rahisi sana we fanya hivi bonyeza Window button + R kitakuja kisanduku cha kutafuta alafu andika Cmd kisha bonyeza enter
🔹ikifunguka command prompt unachotakiwa ni kuandika slmgr-dli na ubonyeze enter
slmgr ina maana ya kuwa software license manager
🔹 Baada ya kubonyeza enter Sasa kitakuja maelezo ambayo yatakua yanakupata taarifa zote kuhusu Os (operating system yako) pamoja aina gani ya lincese ya window yako.
Usisahau kupitia mara kwa mara site hii ujifunze mengi Zaid...
Comments
Post a Comment