Skip to main content

Posts

Futa Vitu Kwenye Recycle Bin Unapozima Kompyuta

Written by Stepado Pascal Futa Vitu Kwenye Recycle Bin Unapozima Kompyuta Kuna wakati mtu unakuwa na haraka ya kutumia kompyuta yako kiasi kwamba unasahau kufuta vitu kwenye recycle bin ya kompyuta yako, kupitia njia hii leo nitakuonyesha njia ambayo unaweza kutumia ili vitu vilivyopo kwenye recycle bin vijifute vyenyewe pale unapozima kompyuta yako. Kabla ya kuanza labda nikueleze ni maana ya Recycle bin, kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta kwa muda mrefu basi lazima unajua sehemu hii, kama wewe ni mgeni wa kutumia kompyuta basi ni vyema ufahamu kuwa sehemu hii ni ile ambayo ukifuta kitu kinahifadhiwa humo kwaajili ya kusubiria kufutwa kabisa au kuondolewa moja kwa moja kwenye kompyuta yako. Sasa lengo la maujanja ya siku ya leo ni kusaidia kufuta vitu vilivyomo kwenye Recycle bin pale tu unapozima kompyuta yako, njia hii itakusaidia zaidi kama kompyuta yako ina nafasi ndogo kwani hiitasaidia kuondoa baadhi ya mafile ambayo hayana kazi au hayatumiki tena. Pia kwa kut...

JE WINDOW YAKO NI ORIGINAL

JE WINDOW YAKO NI ORIGINAL ..........? unaweza ukawa unashangaa tu kwanini Am IT guy STEPADO anakuuliza hivyo window yako original 😉 okay sio mbaya ni  vizuri kufahamu kama window unayotumia ni original 😊 au lah.  Tunafahamu watu wengi hawanunui window bali tunatumia za free hii kwa sababu watu wengi tunapenda vitonga Haswa Africa 😀 asilimia chache sana  baadhi ya watu ununua window au package ya software fulani Lakini wengi wetu ni wazee wa free. siokwamba Kila window utakayo download free sio original hapana baadhi ukibahatika kupata basi unakuta original kabisa pia hata unazonunua pia Kuna baadhi feki tambua hilo 😉 okay tutoke humo nilikua natania kidogo tu 👇  Hlw turudi kwenye pointi Kuna  aina tatu za license za window ukae utambue hilo  💡 Oem 💡Retail (Frp)  💡 na Volume license 💡OEM Inasimama kama Original Equipment manufacturer ikiwa umenunua kompyuta na kulita imekuja na window 10, basi jua tu OEM linces ysko  ikoo kwenye system ya...

Maana ya VPN

Maana ya VPN Written by Am IT guy STEPADO Maana ya VPN na Jinsi ya Kutumia Kwenye Simu au Kompyuta Ni wazi kuwa wote tunatumia Internet, hata hapa unaposoma makala hii unatumia Internet ndio maana leo ningependa kukwambia kidogo kuhusu matumizi bora na salama ya Internet na ili uweze kuelewa matumizi bora na salama ya Internet basi ni lazima kuongelea kuhusu maana ya VPN na jinsi ya kutumia kwenye simu au kompyuta yako. Nini Maana ya VPN...? Sasa kwa kuanza labda kwanza tujue maana ya VPN, VPN kirefu chake ni Virtual Private Network maana yake kwa kiswahili ni mtandao wa kibinafsi wa kidigital, mtandao huu unakuwa wa kibinafsi kwa sababu data zinazotumwa kutoka kwenye mtandao huo zinakuwa ziko encrypted. Sasa ili kuelewa zaidi labda ni kwambie kidogo kwanini utumie VPN.Muda huu unapotumia internet kampuni zinazokupa huduma hizo za internet (ISP) zinakuwa na uwezo wa kuona vitu kadhaa kuhusu matumizi ya huduma hiyo, moja kati ya vitu wanavyoweza kuona ni pamoja na tovuti gani unayo temb...

Jinsi ya Kuweka Password Kwenye USB Flash Drive Yoyote

Jinsi ya Kuweka Password Kwenye USB Flash Drive Yoyote Written by Am IT guy STEPADO Ni kweli kwamba hivi sasa karibia kila kitu kina kuja na uwezo au sehemu ya password, lakini kuna baadhi ya vifaa ambavyo sio vya kisasa na havina sehemu maalum ambayo unaweza kuzima na kuwasha password kwa urahisi. Kuliona hili leo Solution Tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kuweka password kwenye USB Flash Drive yoyote kwa urahisi na haraka. Njia hizi zinaweza kufanyika pale unapokuwa na kompyuta hivyo hakikisha unayo kompyuta kabla ya kuendelea kwenye hatua hizi. Basi bila kupoteza muda twende kwenye hatua hizi moja kwa moja. Kwa Kutumia Njia ya BitLocker BitLocker ni sehemu ambayo inapatikana kwenye kompyuta zote zenye mfumo wa Windows 10, sehemu hii inaweza kusaidia kuweka password kwenye USB Flash yoyote kwa urahisi na haraka. Kama unataka kuweka password kwenye USB Flash kwa kutumia sehemu ya BitLocker, unacho takiwa kufanya ni kuchomeka Flash yako kwenye kompyuta kisha moja kwa moja ing...

Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus

Download Programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus Written by STepado pascal Ikiwa tunazungumzia programu bora kwaajili ya ofisi ni wazi kuwa programu ya Microsoft Office ni programu bora sana kwako, programu hii inakuja na uwezo mkubwa sana wa kusaidia mtu ambaye anafanya kazi kwenye ofisi, au hata kama wewe ni mwanafunzi programu hii ni bora sana kwako. Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo itakusaidia sana kuweza kupata programu ya Microsoft Office 2019 Pro Plus, ambayo imesheheni sifa nyingi sana bure bila kulipia gharama yoyote. Kumbuka hili ni toleo la Pro Plus hivyo limesheheni sifa zote za programu ya Microsoft Office. Baadhi ya programu ambazo zipo ndani ya toleo hili ni pamoja na –     Microsoft Word     Microsoft Excel     Microsoft Powerpoint     Microsoft Outlook     OneNote     OneDrive     Microsoft Teams Kwa kuanza ni vyema kufahamu kuwa programu hii ni kwa ajili ya kompyuta za Windows na inafany...

Jinsi ya Ku-install Windows 10, 8, 7 na XP Kwenye Simu za Android

 Jinsi ya Ku-install Windows 10, 8, 7 na XP Kwenye Simu za Android Written by STepado Pascal windows kwenye android (1) Kutokana na teknolojia kubadilika sana vile vile hata simu zetu nazo zimekua zikibadilika kila siku, simu zetu zimekuwa zimebadilika kuanzia uwezo, vitu inavyofanya mpaka matumizi ya simu hizo. kuelewa mabadiliko hayo leo Tanzania Tech tunaenda kukuonyesha njia rahisi ya kuinstall Windows 7, Windows 8, Windows 10 pamoja na Windows XP kwenye simu yako ya Android. Kwa kuanza ni vyema ukajua kuwa uwezo wa kutumia Windows kwenye simu yako unaweza kukusaidia wewe kutumia simu yako kama kompyuta, njia hii itakusaidia sana kama simu yako inauwezo wa kutumika kwenye screen kubwa ili kukupa uwezo wa kufanya vitu mbalimbali kama unavyo tumia kwenye kompyuta, yaani bila tofauti kubwa utafauti ni kwenye graphics pekee. Kwa kuanza unatakiwa kuwa na simu yako ya Android yenye RAM at-list GB 1 na kuendelea, uharaka wa kuinstall Windows kwenye simu yako unategemeana sana na Uwezo...

Link ya kupata windows

Mambo vp Wana blog ,leo nimekuletea link hii hapa chini ,uweze kupakuwa window yoyote uitakayo kwa matumizi yako ,hvo basi bila kupoteza wakati click hiyo link hapo itakupeleka kupakuwa windows. Ukipata changamoto yoyote niachie comments yako hapo chini au chochote Cha kushare nasi karibu Sana.Tukutane tena wakati mwingine Click hapa

Jinsi ya Kusoma Meseji za WhatsApp Bila Kuonekana Online

  Jinsi ya Kusoma Meseji za WhatsApp Bila Kuonekana Online Written by Stepado Pascal Ni wazi kuwa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kukufanya uwe na uhitaji wa kusoma meseji uliyotumiwa kupitia programu ya WhatsApp bila programu hiyo kuonyesha kama upo “online” au bila kuonyesha kama umesoma meseji hiyo. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia mpya na rahisi ambayo unaweza kutumia ili kujibu meseji zako za WhatsApp unazotumiwa bila programu ya WhatsApp kuonyesha kama upo online au bila kuonyesha kama umesoma meseji hiyo yaani tiki mbili za blue. Najua kila mtu anaweza kusema najua hiyo lakini nakushauri endelea kusoma makala hii hadi mwisho kwani unaweza kupata maujanja mapya ambayo pengine ulikuwa hujui kwa namna moja ama nyingine. Kama kawaida sipendi kupoteza muda wako mwingi kwa maneno yangu, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia ya kwanza. Njia ya Kwanza Najua kuwa unaweza kusema kuwa unaweza k...

Kwa Wanafunzi Hizi Ndizo Laptop Bora za Kununua

Kwa Wanafunzi Hizi Ndizo Laptop Bora za Kununua Written by Stepado Pascal Kwa sasa ni kipindi cha kuanza kujiandaa kuingia kwenye semiter mpya na kwa wengine ni kipindi cha kujiandaa kuingia kwenye masomo ya elimu ya juu, pamoja na yote hayo kuwa na laptop ni kitu cha msingi sana kwa wanafunzi ndio maana leo Solutions Tech tunakuletea laptop bora kwaajili ya wanafunzi kwa mwaka 2020. Laptop hizi zimepangwa kwa kuzingatia ubora wa laptop ambayo mwanafunzi anahitaji na angeweza kununua. 10. Asus Zenbook UX305 Sifa za Asus Zenbook UX305 CPU: 6th generation Intel Core m3 – Core m5 | Graphics: Intel HD Graphics 515 – 5300 RAM: 8GB Screen: 13.3-inch FHD (1,920 x 1,080) – QHD+ (3,200 x 1,800) Storage: 256GB – 512GB SSD Laptop hii ni bora kutokana na ubora wake bei pamoja na urahisi wake wa kutumia laptop hii inauwezo wa teknolojia ya full HD screen ama hakika laptop hii ni bora sana kuwa nayo wewe mwanafunzi hata bei pia ni rafiki sana. 9. ...

Laptop 10 Bora za Kununua kwa Sasa (2020)

  Hizi Hapa Laptop 10 Bora za Kununua kwa Sasa (2020) Written by Stepado Pascal Ni mda mrefu sana umepita toka tuongelee kuhusu laptop, pengine hii ni kutokana na uwepo wa laptop mpya chache sana kwenye miaka ya karibuni au ni kwa sababu simu zimekuwa zikishika chati zaidi kwa sasa pengine kuliko laptop, Lakini kama ulikua mmoja wa watu ambao wanatamani kujua kuhusu laptop bora mwaka huu (2020) kabla haujaisha maana sasa tupo jully na wewe ni kiu yako kumiliki laptop basi hii hapa ndio list ya laptop bora ambazo unaweza kununua kwa sasa. Kumbuka laptop hizi nyingi zinapatikana hapa Tanzania hivyo tutajitahidi kuweka na bei za laptop hizi ili uweze kujua angalau kwa makadirio ni kiasi gani cha fedha unachotakiwa kuwa nacho ili uweze kupata aina flani ya laptop. Basi bila kupoteza muda twende tuka angalie list hii, Kumbuka list hii haijapangwa kwa namba hivyo laptop zote hapa ni bora sana kuwa nazo. MacBook Pro Yenye Touch Bar Ni wazi kuwa Macbook Pro yenye Touch ...